Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Hawza, Hujjatul-Islam wal-Muslimin Shams, mkuu wa ofisi ya Ayatullah Al-Udhma Nuri Hamadani, amesema kuwa hatua zote za matibabu ya Ayatullah huyo zimekamilika kwa mafanikio na kwamba amerejea mjini Qum.
Ayatullah Al-Udhma Nuri Hamadani alikuwa amelazwa katika mojawapo ya hospitali za Tehran kwa ajili ya kukamilisha matibabu yake, baada ya kupata nafuu aliruhusiwa kutoka hospitalini.

Maoni yako